Kuna Swali Watu Wanajiulizaga Mtaani Watu Waliosoma Civil Engineering..
.
Ni Wahandisi Ndio Lakini Wanajihusisha Na Nini Haswa.?
.
Civil Engineering Ni Uhandisi Unaojihusisha na Kudesign, Kujenga na Kufanya Maboresha/Marekebisho Ya Miundombinu Yote Inayotumika na Wanadamu!
.
Civil Engineering Ni Pana, Civil Engineering Ni Kubwa!
.
Bofya Kufahamu Zaidi:
.
.
Changamoto Kubwa Unakutana Na Mtu Kasoma Civil Engineering Lakini Hata Ukimuliza Enhee Wewe Ni Civil Engineer/Civil Technician Unafanya Kazi Gani Haswa Unakuta Anashindwa Kukupa Jibu Lilonyooka..
.
So Ndani Ya Makala Hii Nimeshare Na Wewe Main Type of Civil Engineering Specialization in Tanzania!
.
Kupitia Hii Utapata Kujua Wewe Kama Civil Engineer/Technician Unaangukia Haswa Category Ipi.
.
Bofya Kufahamu Zaidi:
.
.
Miundombinu [https://lnkd.in/dzURVPiv]
.
BADILISHA UJUZI WAKO WA CIVIL ENGINEERING KUWA PESA
(Hatua Kwa Hatua A Mpaka Z)
Tags:
Civil Engineering
